Kama kawa kama dawa we are the only guys keeping it real with latest from our celebrities. You know him, and you love his music. Introducing Chief Moses AKA Kondele president…What’s up bro??

Advertisements

YOh!Ni Chief Moses Kondele Presidante si unajua??

Tunajua!!! Tell us how you got the name?

Watu wengi hushangaa sana na jina yangu Chief Moses but ni mostly because hawajui vile ilikam through. Honestly nilikua najiita Moses nikianza ku persue music kama career until nikameet Dr.Ofweneke during the Bangaiza one mic event. After my impressive act aliniuliza jina then akanishow ningekua kwao Naigeria ningeeitwa Chief Moses juu niko poa na hapo ndio nika Kua Chief Moses.

Na ghetto prezidante?

Iyo ilikuja by law of nature hehe..before music nilikua na hustle Kondele na ni huko nime grow as a kid and even now na represent Kondele mnaelewa tu hehe.

Noma sana. Kuna ii song dawa ya moto na kwa watu wa Kisumu ilikua achievement yetu kukuona hapo na kina Sauti Sol na wazito wengine ebu tushow hiw you did it

Dawa ya moto vile ilihappen ata bado sijawai elewa though na thank to God siku let my fans down. After bangaiza one mic I got sponsored by K24 and they even got me a deal with Grandpa Records. Later on after completing my projects at Grandpa and even came back to Kondele, I got a call from RaFigah about some collabo he thought I should do a verse. After that I prepared and trvelled to Nairobi. All along sikua na idea yoyote about the track and the only thing I was told is that it was called fimbo ya tatu featuring V-sita. When I got to the studio, V-sita was there, he played the beat and gave me instructions that my verse should end with dawa ya moto ni moto na niweke jina pia. At that particular moment I came up with the lyrics and freestyled something like…

Ukiskia jina grandpa, jua serikali

Chief pon de mic, serious okawal

Mul kaka liet, ibil kakochieck

Chif moses, DAWA YA MOTO NI MOTO!!

Nice! As a more established Kenyan artist what’s your take on the local industry?

Naeza sema vitu impressive ndio naona. Industry ime grow and even new artists are getting recognized. Sikuizi watu wanatambua vitu kali na it does not matter kama wewe ni underdog. Bora uko na kitu fiti watu watakuskia. However ningetaka kuwakumbusha wasanii wanakuja kwamba ni showbiz na iyo ndio itawasaidia ku make a living out of their time and talent. Another thing, stratergize your online marketing.

What can you count as your greatest achievement so far?

Kitu ya muhimu kwangu sai that I can count as my greatest achievement ni mafans wangu wameniamini na wamenisukuma hapo mbele. Sai naeza pata biashara za maana kwasababu mafans wangu wananipea support bila ku hold back na vile mnajua kwa ii game, the more people you have in your corner the more ching ching in the bank hehe. Sai nimeweza kujibrand na kitu inanibamba the most ni nimemeet watu and networked with people I only saw on TV and heard on radio. I thank God that nimekua inspiration to many young artists in the game na sioni nikiwaangusha.

Deep sana. Uko na any new project ama kitu iko kwa pipeline?

Niko na project mpya inaitwa Stagger. II ni one of those projects imeni take time ku release juu ya vitu vitu but niko glad iko out sai n unaeza ipata YouTube. Stagger dance kama umelewa ni trendy though nataka mjue kuna difference kati ya talent na trend. Trends huisha and that is why talent hukua muhimu sana kwa music industry. Vida ya stagger iko fresh na siwezi jipiga kifua sana so muniachie comment hapo nitatumia kujipiga kifua hahaha!

Advertisements

Kweli kweli. Na tumeskia tu about the good stuff haujapata any chalenges?

Hakuna msanii hapitii challenges that I can tell you for free no matter how loaded you are. Usanii ni kazi mob sana na most of the time kufanya kila kitu perfectly ni tricky. As for me kupenetrate market was my greatest challenge because ilinitake time before ni win loyal fans. Secondly ni doh. Unajua watu hufikiria ukiwa na pesa unaeza ingia studio udrop ngoma na ikue hit. Music is not like a trading business where you buy for cheap and sell on profit. Lazma you network and move around and all that needs money juu atakama unataka kumeet media personality lazma ukue na kitu ya kumfanya akue na hamu ya kukumeet. Lastly nis story na kupata shows na si ati haziko, shows ziko kwa wingi shida ni, organizers na the so called cartels wanatu undermine na wanaumiza usanii more so Kisumu. Kuna shida kubwa lakini ni poa tuko hapa na tutaitatua soon.

Kazi yako ni safi sana producer wako ni nani?

Sai na work an Mavo on the beat, one beat killer ni mtu amazing in short. Ananielewa na iyo ni muhimu sana. Many artists I recognize the role of their producers with respect to their success in the industry. I find it hard to work with random producers because me ni mtu wa ku free style na inamaanisha lazima producer anielewe na interest zake na zangu zi match before ikue rahisi kumaliza project.

Juu tume kula time yako sana just sign out…

This is Chief Moses AKA  Kondele presidante signing out!!!

Well you heard it from the horse’s mouth. Make sure you check the Chief himuselfu on YouTube and don’t forget to subscribe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *